RASMI CHAMA AONDOKA SIMBA| AJIUNGA NA RS BERKANE YA MOROCCO

CHAMA KWAHERI SIMBA Kaimu Afisa habari wa Simba SC Ezekiel Kamwaga amethibitisha kuwa Kiungo wa kimataifa wa Zambia Clatous Chota chama (30) amejiunga na Club ya RS Berkane ya Morocco akisaini mkataba wa miaka mitatu. Chama amesaini mkataba huo unaotajwa kuwa umeigharimu RS Berkane ada ya uhamisho ya Tsh Bilioni 1.5 kwenda Simba SC na